DOKTA MIMI SIUMWI HUKO – 1

*********************************************************************************Chombezo : Dokta Mimi Siumwi HukoSehemu Ya Kwanza (1)“Ulikwenda hospitali mke wangu?” Masofa alimuuliza mke wake Sulee.“Nilikwenda, lakini daktari kasema mimba nitapata tu ndani ya mwezi mmoja.”“Ndani ya mwezi mmoja utapata mimba? Inawezekana kweli? Hujamwambia kwamba tumehangaika kutafuta mtoto kwa miaka nane, sasa ndani ya mwezi mmoja mimba itapatikana vipi?”“Mimi sijui Masofa.”“Mh! Haya, kwa sababu … Continue reading DOKTA MIMI SIUMWI HUKO – 1

CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 5

Chombezo : Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!Sehemu Ya Tano (5)Baba Shua alirudi akamkuta mama Shua sebuleni akiwa katika hali ya kutojua nini kinaendelea. Aliingia chumbani bila kusalimia, akapanda kitandani kulala maana alishaoga nyumbani kwa Maua na kupakwa mafuta ya losheni na pafyumu juu.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/Kitendo cha baba Shua kumpita kama hamuoni kilimuumiza akili mama Shua, … Continue reading CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 5

CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 4

Chombezo : Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!Sehemu Ya Nne (4)Mama Shua alijikuta akiingia wasiwasi, akatoka kwa kasi huku macho pima… “Mungu wangu…Mungu wangu. Yule mzee kaniona tena jamani, kamtumia mama meseji,” alisema moyoni mama Shua huku akiseti simu yake ili ampigie mdogo wake… “Selina, mama kanitumia ujumbe tena. Inaonekana yule mzee ameniona tena. Mimi nilikuja … Continue reading CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 4

CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 3

Chombezo : Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!Sehemu Ya Tatu (3)Giza likiwa limeshaingia, Musa anarudi sasa, akakutana namama Shua njiani… “Musa vipi? We unajua namba yako sina, kwa nini usinitafute wakati we unayo? Kwani ule ujumbe wangu asubuhi kupitia kwa mtoto hukuulewa?”“Ujumbe upi?” aliuliza Musa…“We si tulipanga tukitoka job unipigie!”“Tuliongea wapi mama Shua?”“Kwani hukunielewa muda ule … Continue reading CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 3

CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 2

Chombezo : Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!Sehemu Ya Pili (2)Mpaka usiku, mama Shua hakumtumia meseji Musa wala Musa mwenyewe pia hakumtumia meseji mwanamke huyo. Yeye alikuwa muoga wa kuanza…“Mama Shua,” alianza kwa kuita baba Shua wakiwa tayari kitandani…“Abee…”“Kesho asubuhi ndiyo utakwenda kwa bro. Maana mimi nitaondoka saa kumi na moja na nusu.”“Umeshaongea naye kwenye simu?” … Continue reading CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! – 2